Don Vito
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 1,342
- 2,105
Simba kapata la pili mkuuVp wengine hatuko TZ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba kapata la pili mkuuVp wengine hatuko TZ
KSimba kapata la pili mkuu
Atawaumiza huyu 11 December yuko moto hatari.Kwa morrison huyuu jiandaeni kisaikolojia
MnoooAtawaumiza huyu 11 December yuko moto hatari.
Wasukuma wa Geita ukiwalisha biriani unajisumbua,wapewe huohuo pila ugali wa muhogo.Simba wekeni mpira chini bhana tunataka biriani
Sista andaa moyo tu! Hakikisha hauna preshaKwa morrison huyuu jiandaeni kisaikolojia
Yah ni wachezaji wazuri ndo maana rafiki yake Zidane kocha wa Simba Pablo akachagua kufundisha Simba.Ukisikia Super SUb ndio zile sasa Morrison na Mzamilu, mipira yao ya kwanza pasi na goli
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
sijui kwa nini hawalitoiHuyo Bocco sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]