FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

Hapa kuna namna, yawezekana Simba hawajafanya fair kwenye makubaliano,yaani goli 3 zimepatikana kipindi cha kwanza,tena wachezaji wa timu pinzani wakiwa kamili,kipindi cha pili timu ikiwa pungufu,Simba wanashindwa kupenya... aisee,benchi la ufundi la Simba,wafanye namna waongeze mpunga.
 
Kibu, Israh, Putin wanaingia

Kapombe, Mzamiru wanatoka
 
Si walisema leo wanashinda saba ili waongeze ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…