FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

Eeh eeh eeh eeh eeeeh wamebana wameachia
3-0 tatu bila tatu bilaaa
Wamebana wameachia
 
Hizi ndizo mbinu zenu huko Utopoloni!
Hapana,tunene uhalisia,hivi kweli unaamini timu inaweza ikapigwa tatu kipindi cha kwanza,halafu kipindi cha pili,tena timu pinzani wakiwa pungufu,washindwe hata kufunga goli moja?
Huoni kuna walakini?
Ikitokea tume huru ikiundwa,huoni Simba na Coastal watafungiwa?
Daaah! inasikitisha sana.
 
Thubutu.... hawa wakikutana na Mashujaa fc,wataaibishwa sana.Tinyo kashaishiwa mbinu,aongee na viongozi wa Coastal walegezewe.
Kabisa na timu yao ilivyo tutawaonea huruma sana
 
Si walisema leo wanashinda saba ili waongeze ligi
Kanuni za ligi zilibadilika tangu mwaka juzi. Kabla ya kuangalia mabao ya kufunga na kufungwa, kinachoangaliwa ni Head to Head, ni kwa kuwa tu bado Simba na Yanga hawajakutana. Unaweza ukawa na mabao mengi, ila kama mnayelingana naye point alikukanda, anakuwa juu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…