Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Chota ampikia tena Baleke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kilasiku mtakua mnacheza na coastal hapo SawaNiliwaambia pale Mwanzo kabisa leo hapa kuna 6+
Tukiongoza ligi ndio mpaka kombe.
See u baadae
Ikuuma huwa ina furaha. Furahi kidogo mkuu, haya mambo timu ndogo haziyawezi.Hilo ni Tawi hapo hamna mpira wowote ni kiinimacho tu [emoji16][emoji1787]
♥️Am from Spain I love Simba, Guvu Moya....
Hata tulipocheza na Yanga tulishinda pia, au mmesahau ndugu zangu 😁Kama kilasiku mtakua mnacheza na coastal hapo Sawa
mtzedi naona leo mchekea.
Aahaaaa,hawajiaminiJapokuwa kuwa kwamba leo siku ya kazi ndio msuse kabisa kwenda uwanjani hata watu mia mbili hamfiki. Halafu mwisho wa msimu TFF wakitoa takwimu timu iliyoongoza kuingiza mashabiki viwanjani mnaanza kulialia kuwa takwimu za uongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una roho ngumu kuwemo humuLeo hutasikia malalamiko kwa mashabiki wa Mikia kwenda kwa kocha wala mchezaji yeyote yule
Kama huna cha kujibu, tuliza mshono.Chomesha na wewe kama ni tamu