Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo utakuta Inonga ni majeruhi mpaka Simba inaenda Fainali CAFCaptain wa Coastal Union amepewa kadi nyekundu kwa kumchezea faulo Enonga
3 - 1Kwenye hiyo Ngao alifungwa magoli mangapi ?
Ajibu ni wenu,hiyo ni michezo tunayoijuaWe unaona hiyo sio red ama?
Dogo mimi siyo Rage! Nitakugeuza kuwa fisi. Shauri yakoTuliza kisabengo...kaa Kwa kutulia tizama samba loketo
Mpira uliishaje unajitoa akili sioIkumbukwe tu kuwa pamoja na kucheza na tawi na ndio inayoongoza kuwapa magoli mengi lakini natoa angalizo. Mechi dhidi ya Mtimbwa, Simba ilitangulia kwa magoli mawili na yote yakasawazishwa
Ikumbukwe tu kuwa pamoja na kucheza na tawi na ndio inayoongoza kuwapa magoli mengi lakini natoa angalizo. Mechi dhidi ya Mtimbwa, Simba ilitangulia kwa magoli mawili na yote yakasawazishwa[/QUOTE Mgando kashawazadia red card
Sent using Jamii Forums mobile app
3-1
Kweli Rage anatakiwa kujengewa mnara wa kumbukumbu.3 - 1
Hongera sana
Balaaa hiiEnonga anachukuliwa kwenda Hospitali moja kwa moja
Naona ni bahati mbaya sana...Jamaa kaumiza beki bora Simba
Kazi ipo
Mkude sana! ila poa tu ndio buziness, alikata mizizi na kwake max kule streaming ana dema demaAzam alikata mizizi yote
Ni rafu mbaya sana ngoja tutaona taarifa kutoka kwa ClubHapo utakuta Inonga ni majeruhi mpaka Simba inaenda Fainali CAF
katafute takwimu Utooo usitusumbue hapa