FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

Sasa huyo Haji Ugando si ni kijana wenu huyo! Amefanya makusudi bila shaka ili kuhalalisha kichapo cha magoli mengi kwa timu yake.
Hata wewe!
Yaani amuumize beki wakutusaidia match ya kimataifa kisa haka ka match?
 
Ikumbukwe tu kuwa pamoja na kucheza na tawi na ndio inayoongoza kuwapa magoli mengi lakini natoa angalizo. Mechi dhidi ya Mtimbwa, Simba ilitangulia kwa magoli mawili na yote yakasawazishwa
Af Baada ya kusawazishwa ikawaje? Tulieni dawa iwaingie
 
Back
Top Bottom