Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Haina tofauti na ile faulo aliyochezewa Lomalisa janaInonga kaondoka na Ambulance ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina tofauti na ile faulo aliyochezewa Lomalisa janaInonga kaondoka na Ambulance ujue
Naunga mkono hoja 👍👏mie nimeipenda sana maana aliwahi mchezea hovyo sure boy akajiona mtoto wa mjini sasa kaoneshwa na haji ugando uhuni ni nini
Siyo kidogo kaumia hàsa. Unapomkanyaga Mtu inapoishia shinguard uwezekano wa kuvunjika ni zaidi ya 70%.Kwa ile reaction yake pale chini inaonesha ameumia sana
Nakazia
Halafu hata kadi hakupatamie nimeipenda sana maana aliwahi mchezea hovyo sure boy akajiona mtoto wa mjini sasa kaoneshwa na haji ugando uhuni ni nini
Nampa pole nyingi. Ila ndiyo hivyo tena! Ameumumizwa na kijana wenu wenyewe Haji Ugando.Inonga kaondoka na Ambulance ujue
Sana ugando kafanya uuwaji kabisa ule sio mpira ndo maana kalambwa umemeUko sahihi kabisa. Arajiga kaenda kuangalia Kwanza Mguu wa Inonga,, alichokiona akachomoa Kadi nyekundu. Faulo ya kipuuzi kabisa.
yeye akichezea wenzake ana ona sawa sasa ataonja radha ya kuumizwa hadi aombe pooSiyo kidogo kaumia hàsa. Unapomkanyaga Mtu inapoishia shinguard uwezekano wa kuvunjika ni zaidi ya 70%.
Anavyochezeaga wenzake hovyo mnamsifiaga,sasa leo kakutana na wahuni wenzake.Siyo kidogo kaumia hàsa. Unapomkanyaga Mtu inapoishia shinguard uwezekano wa kuvunjika ni zaidi ya 70%.
kabisa baleke kimataifa anatisha sanaNdio maana Mayele alimkimbia Baleke
Hivi mayele kaka unamuonaje kwani paka unamlinganisha na huyo ambae hata timu ya drc kongo hapati number 🤣😂😂😁Ndio maana Mayele alimkimbia Baleke
ASeee.....mie nimeipenda sana maana aliwahi mchezea hovyo sure boy akajiona mtoto wa mjini sasa kaoneshwa na haji ugando uhuni ni nini
Ndiyo hata mimi!! Au zile shutuma zenu mnazoishutumu Yanga zina tofauti na hizi eeeh!!Hata wewe!
Yaani amuumize beki wakutusaidia match ya kimataifa kisa haka ka match?
Ila hapati number drckabisa baleke kimataifa anatisha sana
oh yeah it was amazing, it's my pleasure to be a fan of this great clubI hope that Jean's goal found you well
Malipo ni hapa hapa Duniani,unakumbua jinsi alivyotaka kumuua Sureboy?ASeee.....
Simba na Yanga ndio zinakutoa Utu kabisa....