Game plan yao ni nzuri tu ila waamuzi wameamua kuwanyonga, penati haikuwa halali, na kurudiwa kwa penati ambayo ilishakoswa nako haikuwa halali. Kipa alifuata sheria zote za udakaji wa penati. Na wachezaji walifuata sheria zote za penati. Ila waamuzi wamewauaHawa Kagera badala ya kucheza football wanacheza rugby ngoja wagongwe
Sijaangalia uchambuziScars marudio unaangalia Azam tv kwenye uchambuzi? Umeona kuna kosa lolote kwenye penati Mpaka irudiwe?
Unataka tuwaamini wachambuzi badala ya macho na akili zetu?Scars marudio unaangalia Azam tv kwenye uchambuzi? Umeona kuna kosa lolote kwenye penati Mpaka irudiwe?
Ndio tumesema hivyo ...labda kusikia ndio bado hamjasikia ....Bado hamjasema
Ndiyo, naangalia mubashara kupitia Azam Sports 1HD.Wewe unaangalia
Wapigweee tuHawa Kagera badala ya kucheza football wanacheza rugby ngoja wagongwe
Imerudiwa na Azam tv mara nne nne hilo kosa pia halipo. Hakukuwa na kosa lolote.
Anawadanganya makocha kwenye uwanja wa mazoezi kwa jasho lakeHuyo ndo kirusi chenyewe kwenye timu kaka.....
Azam TV walishatoa maelezo kuwa uwanja wa uhuru upo karibu na jeshi hivyo walikatazwa kuweka camera juu ndio maana unaona muonekano huo, lkn kwa mechi ya leo camera zipo 7.Camera za Azam ni za ovyo ..mechi unairekodi vp kwa camera tatu utafikiri videos za tiktok
Kipa hakutoka ..alibakisha mguu mmoja kwenye mstari. Sheria nambari 14 ya mpira wa miguu,inayohusu penalty kifungu ni cha Encroachment.Hata Kipa alitoka kabla haijapigwa
Huenda Kagera wakapeleka malalamiko kwa wenye ligi yao....ila upo sahihi tunahitaji kushinda kihalali.Ila huyu refa anatupa lawama za kijinga sababu iwapo kosa ni kipa kutoka ndo imefanya penati irudiwe binafsi kosa silioni sababu mguu bado ulikuwa kwenye mstari, unless kosa liwe ni wachezaji kuingia kabla penati haijapigwa.
Tuna kazi ya kushinda magoli halali kufuta huo utopolo.
Uwanja wa TAIFA upo mbali na jeshi?Azam TV walishatoa maelezo kuwa uwanja wa uhuru upo karibu na jeshi hivyo walikatazwa kuweka camera juu ndio maana unaona muonekano huo, lkn kwa mechi ya leo camera zipo 7.
Imerudiwa na Azam tv mara nne nne hilo kosa pia halipo. Hakukuwa na kosa lolote.
Wanawajua waamuzi wetu mda wote wanatfta sababu wafanye wanacho kitaka inatakiwa kucheza kwa tahadhariGame plan yao ni nzuri tu ila waamuzi wameamua kuwanyonga, penati haikuwa halali, na kurudiwa kwa penati ambayo ilishakoswa nako haikuwa halali. Kipa alifuata sheria zote za udakaji wa penati. Na wachezaji walifuata sheria zote za penati. Ila waamuzi wamewaua
Ningemwambia asikilize kama ningetaka atumie masikioni, ila nimemuuliza aliangalia akagundua kosa lolote. Kusoma na kuelewa kunakupa tabu?Unataka tuwaamini wachambuzi badala ya macho na akili zetu?
Kabisa mkuu.Huenda Kagera wakapeleka malalamiko kwa wenye ligi yao....ila upo sahihi tunahitaji kushinda kihalali.