FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

Hawa Kagera badala ya kucheza football wanacheza rugby ngoja wagongwe
Game plan yao ni nzuri tu ila waamuzi wameamua kuwanyonga, penati haikuwa halali, na kurudiwa kwa penati ambayo ilishakoswa nako haikuwa halali. Kipa alifuata sheria zote za udakaji wa penati. Na wachezaji walifuata sheria zote za penati. Ila waamuzi wamewaua
 
Camera za Azam ni za ovyo ..mechi unairekodi vp kwa camera tatu utafikiri videos za tiktok
Azam TV walishatoa maelezo kuwa uwanja wa uhuru upo karibu na jeshi hivyo walikatazwa kuweka camera juu ndio maana unaona muonekano huo, lkn kwa mechi ya leo camera zipo 7.
 
Hata Kipa alitoka kabla haijapigwa
Kipa hakutoka ..alibakisha mguu mmoja kwenye mstari. Sheria nambari 14 ya mpira wa miguu,inayohusu penalty kifungu ni cha Encroachment.

Wachezaji wa kagera waliingia kwenye box kabla Saidi hajapiga mpira
 
Ila huyu refa anatupa lawama za kijinga sababu iwapo kosa ni kipa kutoka ndo imefanya penati irudiwe binafsi kosa silioni sababu mguu bado ulikuwa kwenye mstari, unless kosa liwe ni wachezaji kuingia kabla penati haijapigwa.

Tuna kazi ya kushinda magoli halali kufuta huo utopolo.
Huenda Kagera wakapeleka malalamiko kwa wenye ligi yao....ila upo sahihi tunahitaji kushinda kihalali.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Game plan yao ni nzuri tu ila waamuzi wameamua kuwanyonga, penati haikuwa halali, na kurudiwa kwa penati ambayo ilishakoswa nako haikuwa halali. Kipa alifuata sheria zote za udakaji wa penati. Na wachezaji walifuata sheria zote za penati. Ila waamuzi wamewaua
Wanawajua waamuzi wetu mda wote wanatfta sababu wafanye wanacho kitaka inatakiwa kucheza kwa tahadhari
 
Unataka tuwaamini wachambuzi badala ya macho na akili zetu?
Ningemwambia asikilize kama ningetaka atumie masikioni, ila nimemuuliza aliangalia akagundua kosa lolote. Kusoma na kuelewa kunakupa tabu?
 
Back
Top Bottom