Nilikanyaga mara kadhaa ule uwanja, kama hawajaufanyia marekebisho ya pitch, hakika ni uwanja wa hovyo.Moja kati ya viwanja ambavyo huwa naona ni vya kipumbavu sana.
(Uhuru Stadium)
Viwanja kama hivyo huwa ni vibaya sana wakati wa jua, najua ni uwanja wenye nyasi bandia ila sijajua ni grade gani.Nilikanyaga mara kadhaa ule uwanja, kama hawajaufanyia marekebisho ya pitch, hakika ni uwanja wa hovyo.
Nyasi zake ni fupi fupi sana halafu ngumu kama nyuzi za gunia hivyo zinakata, halafu ule mchanga wake (bandia) unachoma balaa
Masharti ya mganga yanawabana Simba....Akili za kina Mangungo ni balaa ....Kwanini Simba hawaendi chamazi, wanaupendea nini uwanja wa Uhuru?
Nyie mbona hamji uhuru??? Wanga wabaya sanaMasharti ya mganga yanawabana Simba....Akili za kina Mangungo ni balaa ....
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Chamazi Kuna Afadhali sana kuliko uwanja wa Uhuru.....Nyie mbona hamji uhuru??? Wanga wabaya sana
View attachment 2842831
Match Day.
Simba Vs Kagera Sugar
Time 1600.
15.12.2023.
Uhuru Stadium.
All The Best Mnyama.
#nguvumoja#
Kwa hili likikosi tunampasua mtu 6+
Sare za manesiNaiona sare nyingine leo
Bocco nae leo kakumbukwa
Simba wajenge uwanja wao ili waachane na hii tabia waliyoizoea ya kutangatanga kutafuta uwanja wa kuchezea mechi zao.Hakuna uwanja ambao siuelewi kama uhuru stadium hua hatuko confortable kabisa kwenye ile pitch hua tuna struggle sana, sijui kwanini Simba hakuchagua Azam Complex!!!