Azam Complex hawakuonesha uungwana ile siku ambayo tulikuwa tuna mechi na Power DynamoKwanini Simba hawaendi chamazi, wanaupendea nini uwanja wa Uhuru?
Ila Manula hata bench hayupoBocco nae leo kakumbukwa
Uongo mlishindwa kulipia gharama za mazoezi inshort mlitaka mfanye mazoezi bureAzam Complex hawakuonesha uungwana ile siku ambayo tulikuwa tuna mechi na Power Dynamo
Simba alikodi uwanja punde tu baada ya mechi ya Yanga kumalizika na kiutaratibu uwanja ulitakiwa uwe chini ya umiliki wa Simba.
Lakini haikuwa hivyo bado wasimamizi wa uwanja wa Azam waligoma kutoa idhini kwa viongozi kuingia uwanjani.
Hata ilipofika kesho yake asubuhi bado wachezaji wa Azam walionekana kufanya mazoezi kwenye uwanja huo huku Simba waliokodi wakinyimwa uhuru.
SawaUongo mlishindwa kulipia gharama za mazoezi inshort mlitaka mfanye mazoezi bure
Chama ana act kama free player hivyo kati watabaki viungo watatu ndivyo itakavyokuwa maana chama asipokuwa free hawezi kuendena na kasi ya mpira.Viungo wa tatu wote wapo
Hapo katikati sijui leo patakuwaje?
Joto lilizidi acha tu inyesheUhuru kuna Mvua imepita hapa.
Imeshatutibua