WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Uko sahihi.....Msomali ni shidaHao marefa ndio takataka za Karia, uwezo mdogo kama Karia
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi.....Msomali ni shidaHao marefa ndio takataka za Karia, uwezo mdogo kama Karia
Noma sanaDaah che malone lile goli kabisa...
Yes mjini tunaangalia game hatuangalii uchambuzi, bongo hata viazi siku hizi navyo vinachambua.Sijaangalia uchambuzi
Sasa unacholeta ww n ubishi wakati hujui kitu, kwan ujenzi wa taifa na uhuru unaona uko sawa.? Uhuru camera ikiwa juu unaona hadi nje ya uwanja lkn taifa huoni nje ya uwanja.Uwanja wa TAIFA upo mbali na jeshi?
Huna kazi ya kufanyaNdiyo, naangalia mubashara kupitia Azam Sports 1HD.
Wanasema Chama yupo slow mnoChama anashuka hadi chini kulinda lakini ukiwasililiza wachambuzi jinsi wanavyo m-classify utashangaa.
Utasikia Chama ni mchezaji mzuri timu ikiwa na mpira lakini timu ikiwa haina mpira huwezi kumuona Chama anaenda kulinda au kupoka mipira
Hata kuangalia Simba ikicheza ni kazi pia....😂😂😂Huna kazi ya kufanya
Mipango na matumiziWazee wa mipango
Naunga mkono hoja mtaniN
Mipango na matumizi
Waulize kwanini walimtimua KisindaWanasema Chama yupo slow mno
KabisaMtu akila bench tuwe tunaelewa. Anachofanya Phiri humu ni Utopolo