FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

Nilijuwa tu huu mpira wa leo utagurugwa na marefa ili wamfurahishe huyo msambaa wa tff
 
Makosa madogomadogo bado ni mengi, kujisahau, accuracy na timing. Wakati gani ufanye nini na kwa haraka kiasi gani ni shida. Hii siyo game ya kudraw kabisa.
 
Chama anashuka hadi chini kulinda lakini ukiwasililiza wachambuzi jinsi wanavyo m-classify utashangaa.

Utasikia Chama ni mchezaji mzuri timu ikiwa na mpira lakini timu ikiwa haina mpira huwezi kumuona Chama anaenda kulinda au kupoka mipira
 
Wewe ndio unaonekana Kuwa na tatizo la ufahamu.
Masikio yanaingiaje? Wapi nimetaja masikio?

BTW, Unawaamini wachambuzi kuliko macho na akili yako?? Jibu swali
 
Chama anashuka hadi chini kulinda lakini ukiwasililiza wachambuzi jinsi wanavyo m-classify utashangaa.

Utasikia Chama ni mchezaji mzuri timu ikiwa na mpira lakini timu ikiwa haina mpira huwezi kumuona Chama anaenda kulinda au kupoka mipira
Wanasema Chama yupo slow mno
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Sisemi kitu
20231215_171835.jpg
 
Back
Top Bottom