FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

Ushauri kwa Simba, mnapotafuta mchezaji angalieni na utimamu wa akili. Kuna wachezaji Simba wana shida hiyo. Lack of seriousness ni dalili kubwa ya kutokuwa timamu wa akili.
 
Jamani leo kuna kitu cha ajabu nimekiona kwenye mchezo huu. Mbona FOURTH OFFICIAL hatulii? Anakuwa kama ni linesman jinsi anavyohangaika. Naomba mnaofahamu vizuri majukumu ya fourth official mnifahamishe
 
Onana atakuja kutuziba midomo watu tuliombeza

Yatakuwa kama ya Kibu

Assist mbili za wazi anatoa ila wafungaji ndio wanamfelisha
 
Onana anajitahidi. Katengeneza nafsi mbili wamaliziaji wanamwangusha.
 
Back
Top Bottom