Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He is a nonsense.Fabrice pia ka improve sana. Benchikha is a no nonsense coach.
Tulia mkeka wako unapumua mkuu. Soma scoreboardUshauri kwa Simba, mnapotafuta mchezaji angalieni na utimamu wa akili. Kuna wachezaji Simba wana shida hiyo. Lack of seriousness ni dalili kubwa ya kutokuwa timamu wa akili.
Ana mpira fulani wenye madhara kwa adui pale unapomkubali ila ukimkataa unamfanya aonekane mzigo.Onana atakuja kutuziba midomo watu
Anakataa kama naniModers lile la penalt wamelikataa