mwanadar
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 423
- 294
Tayari nafasi ya tatu misomisondo.Hii Miso misondo ipiganie tu nafasi ya tatu
Una jipya?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari nafasi ya tatu misomisondo.Hii Miso misondo ipiganie tu nafasi ya tatu
Naam 🦁 mwenzanguBasi tufanye 1 tuu point 3...
Msimu huu hatuna haja na magoli mengi ila tuna uhakika na kombe au sio mwana lunyasi
Nimewawakilisha na wenzangu kakaUmewawakilisha na wenzako au hii ni ya peke yako?
Sawasawa ila kwa kauli yako naamini kuna matusi ya kimoyoni umetukanwa na wenzakoNimewawakilisha na wenzangu kaka
Watakukataa hapa, taja hata wawili mliokubalianaNimewawakilisha na wenzangu kaka
Mwacheni huyo ni mtani mzungu...hana stressWatakukataa hapa, taja hata wawili mliokubaliana
HawaweziSawasawa ila kwa kauli yako naamini kuna matusi ya kimoyoni umetukanwa na wenzako
Watu tu wanashindwa kuwa waungwanaHawawezi
Halifutiki.Basi lifute yabaki mawili
Huoni kwamba wachezaji wengi walikuwa ndani ya pernat box?Kwa mujibu wa mchambuzi mchezaji wa zamani wa yanga na simba amri kiemba maamuzi ya penati kurudiwa yalikosewa na Huu ni mwendelezo wa maamuzi mabovu ya marefa .
Waendelee kununa tuHalifutiki.
Naunga mkono hoja 🤣😁Watu tu wanashindwa kuwa waungwana
Mimi kwenye mechi yenu na Medeama niliomba dua msifungwe.
Na kweli mechi ikaisha hamjafungwa matokeo yake tulioonekana tunafurahi matokeo ya aina ile tukaitwa hater.
Yani haijalishi ni kwa kiasi gani unakuwa humble kwa mwingine ila mtu akiamua kuku maindi atakuita tu we ni hater.
Tuendelee kudumisha utamaduni wetu kwa kuombeana mema.
KabisaBila kumsahau Bantu Lady na Numbisa