FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Wakuu mi ni shabiki wa Lunyasi damudamu kwa kipind kirefu sana ila kwa sasa Yanga imenivutia sana, mnanishaurije ni kipindi cha mpito tu nivumilie au nihame tu kuifurahisha nafsi
Wanawake bana ndio maana hamshindwi kucheat. Pale unapoona mumewako hana fedha! Komaa nae huyo huyo mumeo aka kolo
 
kwafujo zamagari ninazo ziona huku barabarani nidhahiri wanaenda kuujaza uwanja
kiukweli shabiki wasimba mwenye akili timamu kama Mimi anatakiwa asiende uwanjani hakuna jipya lakwenda kushangilia zaidi yaaibu😕😕

ilibidi hiitimu isusiwe tuu sema kunawenzetu nahisi hawana kazi zakufanya ngoja wakaaibike huko☹️☹️☹️

mashabiki tususe natarehe nane tususe kabisaaaaaa hawa mbwa wanapanga kutuaibisha

ukweli lazima usemwe

ubaya ubwelaaaaaa
 
Najua wote tuna HASIRA na najua hakuna wa kunizidi HASIRA KALI hapa JamiiForums na najua fika kuwa Wote ( wana Simba SC ) Mchezaji wetu Kibu Denis alitukosea pakubwa ila Nimetaarifiwa kuwa leo katika SIMBA DAY yetu huenda ( narudia tena kusema huenda ) tafadhali eleweni Neno la huenda Mchezaji huyu Kibu Denis AKAOMBA / AKATUOMBA RADHI wana Simba SC wote kwa yote aliyoyafanya Kwetu na yaliyotuumiza.

Hivyo basi kama AKITUOMBA RADHI / MSAMAHA leo nami GENTAMYCINE ninawaombeni Sote tumsamehe Kijana wetu.
 
mtajutia nafsi zenu leo!
 
Wakuu mi ni shabiki wa Lunyasi damudamu kwa kipind kirefu sana ila kwa sasa Yanga imenivutia sana, mnanishaurije ni kipindi cha mpito tu nivumilie au nihame tu kuifurahisha nafsi
Dada nenda tu tunajua umevutiwa na vile vitenge.
 

Bila shaka hawa walihudhuria ile supu ya Jangwani.
 
Unaongea wewe kama nani?🤔
GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na pia kama Mshindi pekee wa TUZO na FEDHA ya Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa Msimu wa mwaka 2022 / 2023. Kwa Lugha nyepesi GENTAMYCINE ndiyo Jukwaa la Michezo JamiiForums na Jukwaa la Michezo JamiiForums ni GENTAMYCINE hutaki kwa Wivu, Chuki na Uswahili wako katafute Sumu ya Panya kisha uikorogee katika Kikombe cha Maji unywe na UFE / UFARIKI kabisa sawa?

Imeisha hiyo........Kudadadeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…