FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

EMU VI PIII 😁😁😁
 
Kocha anahitaji fullbacks wafanye overlapping pindi timu inapoahambulia ila bado full backs zetu ni za kizee...kocha aingize kina kijili na nouma
Unategemea mabadiliko ya kiuchezaji wa wachazaji (Kapombe & Zimbwe) ambao uchezaji wao tunaujua miaka nenda rudi.?

Umri wao kujifunza kimpira umeshapita, kocha hawezi leta mbadiliko yoyote makubwa ya kimpira kwenye ubongo wao.

Labda tusubiri hao wengine ( Nouma & Kijili).
 
Fresh kwa jirani kukiwaka moto we peleka petrol[emoji23][emoji23] fresh mwanetu virasta vya drogba wa zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…