Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Mukwala mamaee dah[emoji1787][emoji1787]
Amekosaaa Mkwala.
Yamekosaaaaa
Mukwala anakosa penalty hapa...inagonga besela
Tajiri haamini anachokiona
Confidence ndio imeishia hapo
Kweli Ubaya Ubwela.....Fimuuuuuu kakosa huyu laana
Uyo uyooHuyu Mukwala ndiye anaye weka waaa.....
Hakuna timu hapaAibu hii
Unategemea mabadiliko ya kiuchezaji wa wachazaji (Kapombe & Zimbwe) ambao uchezaji wao tunaujua miaka nenda rudi.?Kocha anahitaji fullbacks wafanye overlapping pindi timu inapoahambulia ila bado full backs zetu ni za kizee...kocha aingize kina kijili na nouma
Nadhani mmenipataBora fredi fungafunga
Kama halali hakuna tatizo,shida inakuja la mchongo na mmekosa.Tuta ni sehemu ya mchezo