FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Nipigie tena nlikua mbali na simu 😁
Unanisikia au nakatika katika?
1722602916513.jpg
 
Manara alisema simba hawajamaliza ticket mbona uwanja umejaa? Yani Ahmed Ally 1 kawapiga bao watu zaidi ya watatu kwenye uhamasishaji kamaliza ticket siku 3 kabla ya tukio alafu manara na genge lake hadi muda huu ticket za yanga hazijaisha
 
Achana naye yule huwa haishiwi sababu.

Watu jana wame trade damu kwa tiketi ili ku bust tiketi zitembee
 
Ila hii ngoma ya "sio leo toka zamani" imebamba sana ikipigwa ata kama nikivaa uzi wangu pendwa wa DAR YOUNG AFRICAN lazima ata kamoyo kacheze kama sio kurusha mikono
Ulivyotoka nilikua nausikiliza kila siku wakati mimi ni YANGA😂
 
Mimi ni pro Platinumz na ninajua Alikiba ni Yanga Sc lialia, ila hili goma lake "This is Simba" ni life time, silioni likichuja, lina catch feelings za kushabiki sana.

So far hakuna aliyewahi kutunga goma kali hivi kwaajili ya team, kama kuna yoyote anayeliona hili kitofauti anitajie wimbo mwingine.
 
Manara alisema simba hawajamaliza ticket mbona uwanja umejaa? Yani Ahmed Ally 1 kawapiga bao watu zaidi ya watatu kwenye uhamasishaji kamaliza ticket siku 3 kabla ya tukio alafu manara na genge lake hadi muda huu ticket za yanga hazijaisha
Achana na yule zeruzeru mimi simkubalii anatuchafulia YANGA
 
Back
Top Bottom