OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Budo JM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubwela wanaupiga mwingiMechi inaendaje?nani kazidiwa?
malizia supuKolo hawajiwezi kabisa masikini
Hawa hakuna kuwaonea hurumaOya😅😅
Mechi inaendeleaje??Hii ndio timu walikua wanaficha? 😂😢😢. Walaah tarehe 8 isifike tutagawa wastani kwa idadi
Kuna 8 hapoHii ndio timu walikua wanaficha? 😂😢😢. Walaah tarehe 8 isifike tutagawa wastani kwa idadi
Sio kumi?Kuna 8 hapo
😹😹😹 nimebubujikwa machozi ya furaha.....Ndio nafahamu kuwa ni Yanga na hata mimi ni Yanga pia na hata watoto wetu watakuwa Yanga. Hata kufua jezi atakuwa hahangaika kuloweka kwenye maji maana kama angechanganya jezi za simba na Yanga, zile za simba zingeanza kuchuja na kutoa rangi na kuchafua zile za yanga.
Zikifika Kuna watu watakimbia jukwaaniSio kumi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Lukas ashafungua uzi mama samia kapiga simu uwanjani😂
Yasni siku hizi wewe wa moto sana mwanangu😂Kumbe na wewe umeona! Kocha mkuu kaja kuchukua hela ya mtaji
Tulia mambo bado..Mshaanza makasiriko,kama timu yenyewe ndio hii tarehe nane msiingize timu uwanjani
Mbona Ihefu waliingiza timu Mbarali?Mshaanza makasiriko,kama timu yenyewe ndio hii tarehe nane msiingize timu uwanjani