FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Ndio nafahamu kuwa ni Yanga na hata mimi ni Yanga pia na hata watoto wetu watakuwa Yanga. Hata kufua jezi atakuwa hahangaika kuloweka kwenye maji maana kama angechanganya jezi za simba na Yanga, zile za simba zingeanza kuchuja na kutoa rangi na kuchafua zile za yanga.
😹😹😹 nimebubujikwa machozi ya furaha.....
 
Hawa warwanda wakaze tako mbona wapo legelege sana
 
Back
Top Bottom