Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Sioni timu ya mipango hapa,Kwa Simba hii, Yanga inaenda kuibuka na ushindi wa goli zisizopungua 3 tarehe 8.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni timu ya mipango hapa,Kwa Simba hii, Yanga inaenda kuibuka na ushindi wa goli zisizopungua 3 tarehe 8.
Itakuwa msuli umekazaHuyu kipa vipi kaguswa na nani
Kaguswa na mwasibu. Hilo ni kombora la Air Manula. Muda si mrefu mtamrudisha Dimbani ndugu yetu Air Manula.Huyu kipa vipi kaguswa na nani
Noma sanaNaunga mkono hoja [emoji1787][emoji16]
Very average player. Hadi sasa mchezaji ni Joshua Mutale tu. Hawa wengine ni ushuzi tupu.Awesu Awesu ni mchezaji aliyetakiwa kucheza moja kati ya team kubwa nchini tangu zamani.
Jamaa anaujua mpira.
Huyu mtu tusipokuwa makini ataroga wote pale goliniKaguswa na mwasibu. Hilo ni kombora la Air Manula. Muda si mrefu mtamrudisha Dimbani ndugu yetu Air Manula.
Yeah mtafunga goli kumi kabisa, furahi.Kwa Simba hii, Yanga inaenda kuibuka na ushindi wa goli zisizopungua 3 tarehe 8.
Very average player. Hadi sasa mchezaji ni Joshua Mutale tu. Hawa wengine ni ushuzi tupu.
Hawa humu jukwaani watapakimbia sanaNoma sana
Apia ndio nini? Hawa wengine hata mi ninayechezea Manchester ya Kikwajuni nachukua namba kwao.Apia
No even single shot on targetChuma ya kwanza inanukia
Una Tv za mtumba unawaonea bure AzamMbona hizi camera za Azam sizilewi ndiyo camera za 500m kweli?
Ayoub kavunjika, Salim nae akivunjwa tunabaki na kipa mmoja tu wa maana (Camara).Huyu mtu tusipokuwa makini ataroga wote pale golini