Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Apr ndio wababe wa Yanga ila leo wanamenya nyanya golini kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jini unazingua mkuuVery average player. Hadi sasa mchezaji ni Joshua Mutale tu. Hawa wengine ni ushuzi tupu.
Timu ya kawaida sana na imejaa wachezaji wa kawaida tupu kama min -meHawa humu jukwaani watapakimbia sana
Salim kasoma mchezo,anakimbia lawama tarehe nane hataki lawama.Ayoub kavunjika, Salim nae akivunjwa tunabaki na kipa mmoja tu wa maana (Camara).
Red light.
Timu ya kawaida sana na imejaa wachezaji wa kawaida tupu kama min -me
Upo sahihi mkuu 😂😁Timu ya kawaida sana na imejaa wachezaji wa kawaida tupu kama min -me
Hahaaaaaaa, ni ukweli mkuu. Mchezaji ni Joshua Mutale tu hao wengine hata mi hawaninyimi namba.Jini unazingua mkuu
Mjombake KAGAME
Hawa dubee atawaweka 4Salim kasoma mchezo,anakimbia lawama tarehe nane hataki lawama.
Kama una huo uwezo kimpira, unafikiri ni kwanini mpaka sasa unacheza Kikwajuni.?Apia ndio nini? Hawa wengine hata mi ninayechezea Manchester ya Kikwajuni nachukua namba kwao.
Kipindi cha pili atatolewaMzamiru jitihada kubwa akili ndogo
Kapoteza Pesa yake bure kwa hawa wachezaji. Hata wewe ungemaind kwa huu utumbo unaochezwa humu.Mbona kama Mo anamaindi kule jukwani