FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

Jamani Azam kumejam mtandao umefurika waliiochelewa havinunuliki hatari sana
Halafu watu wakitoa mabilioni kwenye mikataba mnaona kama wanatufadhili.

Ofcourse wanastahili kutoa zaidi ya hivyo ambavyo mnadhani hatustahili.

Jiulize juzi na leo wameingiza hela ngapi kupita manunuzi ya vifurushi kwenye ving'amzi vyao.
 
Kwako Hemedy Ally,

Wewe ni mwanaume, jitahidi basi kukaza sauti yako na kuzungumza kama mwanaume acha kuilegeza as if unaongea na wanao.
Mmeanza sasa, hii comment imenifurahisha sana[emoji23].

Sema swala la sauti hakuna namna, uliyopewa ndiyo hiyohiyo mpaka unakufa. Utamlaumu bure tu.
 
Back
Top Bottom