FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

View attachment 2317760
Mashabiki makini wa Simba SC Mnyama tutakuwa hapa Live Jamiiforums.

Mashabiki wa Simba dunia nzima wameendelea na vibe la Simba Day kona zote duniani,huku mashabiki wa Dar Es Salaam wakiendelea kumininika Uwanja wa Mkapa.

Simba tutatambulisha kikosi hatari na benchi la ufundi katika msimu wa 2022/23. Wasanii watatoa burudani wakiongozwa na Zuchu, Whozu, Tunda Man na Meja Kunta.
Mwisho kabisa kandanda saaafi dhidi ya St George ya Ethiopia mishale ya saa 12 Jioni.

Updates
Ndugu msomaji Tiketi zooote zimeuzwa
View attachment 2317953

Updates
Mchezo wa utangulizi Simba Queens Vs Fountain Gate unaendelea.
FT: Simba Queens 2-0 Fountain Gate

Usiondoke JF
Ndugu msomaji Tiketi zooote zimeuzwa[emoji7]
giphy.gif
 
[emoji176][emoji817][emoji818]
 
Aisee mdhamini yeyote mwenye akili timamu akitaka kutangaza biashara yake, basi aitangaze kupitia Simba SC, hakika hatojutia kupoteza pesa zake.

Kwa hali hii Tarimba lazima anune tu, anaenda kupoteza kiasi kikubwa sana cha mapato yake, ngoja hizo chache za leo zenye nembo yake zije kuwekwa store.
 
Utopolo wanaanza kusingizia eti wao wamepata pesa nyingi..wanashindwa kuelewa hata maana ya live dashboard..babra alionesh M 300 ilikua ni saa nne asubuhi..sasa just imagine mpaka mchana ilikua kiasi gani...once utopolo always utopolo!
 
tulia utaelewa tu
TOFAUTI kati ya SIKU YA WANANCHI
na SIKUKU YA WAKULIMA
 
That's market segmentation, sell at low price to ordinary populations but more quantities, finally more revenue.
The strstegy to penatrate the market for more customers.
Yes, that's what I meant.[emoji1535]
 
Back
Top Bottom