FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

Sisi ndio Baba lao wa Soka Tamu, Sisi ndio Waaanzilishi wa Matamasha ya aina hiii. NJOOOONI TUIJAZE LUPASO pomoniiiii. We are Unstopable
Ukiwa taifa umevaa jezi ya Simba ya sports pesa unaingia bure muda huu
 
Huu ubunifu wa Simba Sc leo ninawapa asilimia 100%, zimekamilika 100 kwasababu ni kitu ambacho hakikuwahi kufanywa na club yoyote hapa Tz.


Ofcourse ni lazima tuwe na vitu vya kitofauti kama hivi, wengine waige tu maana sio dhambi.
 
Wewe s
Simba mnatuumiza mashabiki wenu.
Jezi mbaya na mmeleta pic chache sana.
Halafu mlivyo wajinga mmeleta team wachovu ili mtudanganye ..

Mimi nahama hili li team bora nihamie yanga tu..wewe sio simba
 
Yule aliyeuliza kwanini huanza kuandikwa SIMBA na Yanga nadhani majibu ameyapata.
Hii ya leo hakuna hata mkoja atakaepata nafasi ya kutia kasoro, kila kitu kipo safi na hii itawatia hata motisha wachezaji wapya kujua kwamba wanavaa beji ya team kubwa sana hapa East Africa.



Nasikia kelele huko wanaliaaaaaaaaa[emoji445][emoji445]
 
Back
Top Bottom