cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Sasa watu wenye tickets zao walio njiani, inakuaje???Yani kama uko home unajiandaa kuja kwa mkapa ni bora tu usije
Hizi ni picha za saa 7 kasoro
Kwa mara ya kwanza nimeona ipo haja ya serikali kufunga feni uwanjani
Huku sio kujaa, huku ni kutapika
View attachment 2317970View attachment 2317971View attachment 2317972View attachment 2317973View attachment 2317974