FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

Ila combination ya Babra na Ahmed Ally wakishirikiana na management ya Simba walichofanya leo hakijapata kuonekana kwa Club hapa Afrika. Hongera kwao.
Halafu nchi hii inataka kuruhusu wahuni kama Manara na Hersi waharibu heshima ya mpira na TFF?
*****, bora kuipiga chini timu nzima tuone! Kwani Yanga ni nini bana, au kwa sababu kina Mkuchika na yule muhuni Madelu wako huko wanataka kutuharibia soccer?
Nadhani Rais wa CAF atawaambia wengine what's Simba
 
Hivi kwamfano club ya taifa lolote lile imekuja hapa halafu ghafla inakutana na makelele yote hayo wanapata wapi nafasi ya kucheza mpira zaidi ya kutetemeka na kuingiwa na vitete??[emoji23][emoji23]

Yani hapo hata uje na wachezaji wenye viwango gani ni lazima upoteze network.

Na hiyo ni moja kati ya sababu ambazo huwa ,zinaifanya Team ya Simba Sc kutokwa na wazimu kwenye mechi zake za kimataifa.
 
Hata kama tunaanza round ya awali CAF tutaendeleza hatua tuliyofikia
 
Naam kamati ya ulinzi usio onekana imejipanga vema kabisa kuzuia vimbola kutoka pande zote.
IMG_20220808_155915_568.jpg
 
Yule Manara ajue kabisa misingi ya Simba Sc haijawahi kutegemea kelele zake, yale makutano ya watu yaliyokuwa yanamtia wengile na kiburi ilikuwa ni kwasababu ya mapenzi yao kwa team na sio mtu.

NB: Mechi zote za kimataifa tutakazokuwa tunacheza saa 10 jioni (kutokana na ratiba), nadhani viingilio viwe hivihivi ili tupige faida kubwa , maana it not always about price tags, but the frequency of selling.
 
Hakika ni shoo ya kibabe
Ila combination ya Babra na Ahmed Ally wakishirikiana na management ya Simba walichofanya leo hakijapata kuonekana kwa Club hapa Afrika. Hongera kwao.
Halafu nchi hii inataka kuruhusu wahuni kama Manara na Hersi waharibu heshima ya mpira na TFF?
*****, bora kuipiga chini timu nzima tuone! Kwani Yanga ni nini bana, au kwa sababu kina Mkuchika na yule muhuni Madelu wako huko wanataka kutuharibia soccer?
Nadhani Rais wa CAF atawaambia wengine what's Simba
 
Yule Manara ajue kabisa misingi ya Simba Sc haijawahi kutegemea kelele zake, yale makutano ya watu yaliyokuwa yanamtia wengile na kiburi ilikuwa ni kwasababu ya mapenzi yao kwa team na sio mtu.

NB: Mechi zote za kimataifa tutakazokuwa tunacheza saa 10 jioni (kutokana na ratiba), nadhani viingilio viwe hivihivi ili tupige faida kubwa , maana it not always about price tags, but the frequency of selling.
That's market segmentation, sell at low price to ordinary populations but more quantities, finally more revenue.
The strstegy to penatrate the market for more customers.
 
Back
Top Bottom