FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

Kanuti katambulishwa ,Ina maana Manzoki hatakwepo
Aisee mashabiki wa simba mna moyo, halafu mnawaamini viongozi wenu! Mbona Manzoki ameshaongeza mkataba na timu yake mpaka 2025!

Halafu mwakani mtafute mtu mwingine wa kutambulisha bhana! Huyu Ahmed Ali hakuna kitu. Bora hata mngenipa mimi hii tenda aisee!
 
Mlitaka mbwembwe na michambo kama za yule jamaa yenu Manara, mtani unapenda uswahili eeeh?
 
Mlitaka mbwembwe na michambo kama za yule jamaa yenu Manara, mtani unapenda uswahili eeeh?
Mashabiki wanataka swaga! Na kwa bahati mbaya, meneja wenu wa habari; Ahmed Ali hana hizo swaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…