Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Yuko vizuri ,mi sipendagi michambo ikizidi ni kama tunashindana na waoMimi naona jamaa yupo vizuri tu, amekosa tu michambo ambayo kimsingi haihitajiki kwenye tamasha la heshima kama hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko vizuri ,mi sipendagi michambo ikizidi ni kama tunashindana na waoMimi naona jamaa yupo vizuri tu, amekosa tu michambo ambayo kimsingi haihitajiki kwenye tamasha la heshima kama hili.
Huu uwanja Simba SC tulijimilikisha miaka mingi sana iliyopita, ni vile tu hauna mdomo, hata uwanja wenyewe ungekiri Msimbazi ndio Taifa Kubwa.Mwandishi wa CAF kasema Mkapa stadium inatakiwa ipanuliwe watu ni wengi
[emoji106]Lile jamaa lililonibondea Mandoga mmeliona?
Kumbe ni mwana Simba Sc mwenzetu bwana.[emoji23]
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Ngoja tuone.Kanuti katambulishwa ,Ina maana Manzoki hatakwepo
Tangu aje mserbia nadhani dili la manzoki likikufa pale ,hebu tusubiriNgoja tuone.
Aisee mashabiki wa simba mna moyo, halafu mnawaamini viongozi wenu! Mbona Manzoki ameshaongeza mkataba na timu yake mpaka 2025!Kanuti katambulishwa ,Ina maana Manzoki hatakwepo
Mlitaka mbwembwe na michambo kama za yule jamaa yenu Manara, mtani unapenda uswahili eeeh?Aisee mashabiki wa simba mna moyo, halafu mnawaamini viongozi wenu! Mbona Manzoki ameshaongeza mkataba na timu yake mpaka 2025!
Halafu mwakani mtafute mtu mwingine wa kutambulisha bhana! Huyu Ahmed Ali hakuna kitu. Bora hata mngenipa mimi hii tenda aisee!
Mashabiki wanataka swaga! Na kwa bahati mbaya, meneja wenu wa habari; Ahmed Ali hana hizo swaga.Mlitaka mbwembwe na michambo kama za yule jamaa yenu Manara, mtani unapenda uswahili eeeh?
Sometimes kunakuwaga na surprisesAisee mashabiki wa simba mna moyo, halafu mnawaamini viongozi wenu! Mbona Manzoki ameshaongeza mkataba na timu yake mpaka 2025!
Halafu mwakani mtafute mtu mwingine wa kutambulisha bhana! Huyu Ahmed Ali hakuna kitu. Bora hata mngenipa mimi hii tenda aisee!
Unataka aongee kama KitengeKwako Hemedy Ally,
Wewe ni mwanaume, jitahidi basi kukaza sauti yako na kuzungumza kama mwanaume acha kuilegeza as if unaongea na wanao.