FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

Huyu Ouattara alikuwa chaguo la kocha, amepatia; na mzungu nae ni chaguo la kocha, apewe muda majibu yatapatikana..

Naamini kocha anawajua watu wa kazi, hawezi kumbeba mchezaji bila sababu aje aharibiwe kazi..
Hata huyu Mzungu naona ni porcher mzuri sana, muhimu apewe wapiga pasi wa mwisho wazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…