Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beautiful world[emoji173]
Sisi hatutaki mbwembwe kajitahidi Sana, kafanya vizuri saana tokea siku ya ufunguzi kafanya kazi kubwa sanaNdo style yake...but ni mhamasishaji mzuri sana...
Sisi hatutaki mbwembwe kafanya vizuri Sana.kwingine kote mmeua bt kwenye utambulisho wa wachezaji ahmed kageuka kituko cha tamasha.
Aisee mashabiki wa simba mna moyo, halafu mnawaamini viongozi wenu! Mbona Manzoki ameshaongeza mkataba na timu yake mpaka 2025!
Halafu mwakani mtafute mtu mwingine wa kutambulisha bhana! Huyu Ahmed Ali hakuna kitu. Bora hata mngenipa mimi hii tenda aisee!
Wachawi hamkosekaniJamaa na kile kisauti chake hafai kabisa kuzungumza mbele ya mashabiki/hadhara kubwa kama hii.
Kidogo kama alipoza ile vibe mashabiki wake walikuwa wanataka kusikia wakati wa utambulisho.
Ushauri; ajitahidi sana kula mayai viza pengine atapata sauti mzito.
Muda wowote kuanzia sa 12 jioni. Ratiba inasema saa 12Mechi rasmi inaanza saa ngapi aseee
Hakijawahi fafanyi Africa na Duniani kwa ijumla. Dunia nzima inastaajabu haya maajabu. Ya Simba DayHuu ubunifu wa Simba Sc leo ninawapa asilimia 100%, zimekamilika 100 kwasababu ni kitu ambacho hakikuwahi kufanywa na club yoyote hapa Tz.
Ofcourse ni lazima tuwe na vitu vya kitofauti kama hivi, wengine waige tu maana sio dhambi.
Huyo ni mnyama mwacha afurahiWanyama Sijui mnajikuta nani.
Nipo na kabinti kangu hapa ni Kanyama. Juzi kamenicheka sana wakati tunafungwa na Vipers.
Leo tangu saa 7 kako kwenye tv mara kacheke mara kaimbe na Sijui Zuchu, il mradi kaniuzi tu.
Sasa nakasubiri tare 13/08/2022 nikaone.
Inabisi huu uwanja miaka ijayo simba waununue. Huu ni.wetu na ukiutaja watu wanajua unaitaja simba. Na.ile kwa mkapa hatoki mtu ndio kabsa ina maanisha simba. 🦁🦁🦁Huu uwanja Simba SC tulijimilikisha miaka mingi sana iliyopita, ni vile tu hauna mdomo, hata uwanja wenyewe ungekiri Msimbazi ndio Taifa Kubwa.