FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

Aisee mashabiki wa simba mna moyo, halafu mnawaamini viongozi wenu! Mbona Manzoki ameshaongeza mkataba na timu yake mpaka 2025!

Halafu mwakani mtafute mtu mwingine wa kutambulisha bhana! Huyu Ahmed Ali hakuna kitu. Bora hata mngenipa mimi hii tenda aisee!

Jamaa na kile kisauti chake hafai kabisa kuzungumza mbele ya mashabiki/hadhara kubwa kama hii.

Kidogo kama alipoza ile vibe mashabiki wake walikuwa wanataka kusikia wakati wa utambulisho.

Ushauri; ajitahidi sana kula mayai viza pengine atapata sauti mzito.
 
Wanyama Sijui mnajikuta nani.
Nipo na kabinti kangu hapa ni Kanyama. Juzi kamenicheka sana wakati tunafungwa na Vipers.
Leo tangu saa 7 kako kwenye tv mara kacheke mara kaimbe na Sijui Zuchu, il mradi kaniuzi tu.
Sasa nakasubiri tare 13/08/2022 nikaone.
 
Huu ubunifu wa Simba Sc leo ninawapa asilimia 100%, zimekamilika 100 kwasababu ni kitu ambacho hakikuwahi kufanywa na club yoyote hapa Tz.


Ofcourse ni lazima tuwe na vitu vya kitofauti kama hivi, wengine waige tu maana sio dhambi.
Hakijawahi fafanyi Africa na Duniani kwa ijumla. Dunia nzima inastaajabu haya maajabu. Ya Simba Day
 
Binafsi nimevutiwa na watoto wa halaiki
IMG-20220808-WA0021.jpg
 
Wanyama Sijui mnajikuta nani.
Nipo na kabinti kangu hapa ni Kanyama. Juzi kamenicheka sana wakati tunafungwa na Vipers.
Leo tangu saa 7 kako kwenye tv mara kacheke mara kaimbe na Sijui Zuchu, il mradi kaniuzi tu.
Sasa nakasubiri tare 13/08/2022 nikaone.
Huyo ni mnyama mwacha afurahi
 
Huu uwanja Simba SC tulijimilikisha miaka mingi sana iliyopita, ni vile tu hauna mdomo, hata uwanja wenyewe ungekiri Msimbazi ndio Taifa Kubwa.
Inabisi huu uwanja miaka ijayo simba waununue. Huu ni.wetu na ukiutaja watu wanajua unaitaja simba. Na.ile kwa mkapa hatoki mtu ndio kabsa ina maanisha simba. 🦁🦁🦁
 
Back
Top Bottom