FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

giphy.gif
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama hii ninayo iona kipindi Cha kwanza ndio Simba inayotarajiwa kutoa Changamoto Kwa Yanga, Nashauri kocha nabi akanywe bia za kutosha na kupumzika.
Tuwasubiri kuwaona Azam au Singida, Simba haitakuwepo kwenye ushindani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulia na kikundi chako mlichofungwa huko.
 
Timu zingine zinawapa kazi askari wetu wa uhamiaji, hao wanakuja 30 wanaondoka 25,hao watano uhamiaji wakichelewa tu wamezama South Africa.
Relaaaaaaaxxxxxxxx!!! Kwann uteseke?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha wivu ww unataka upendwe ww sura kama kokwa la embe. Hasara unaijua ww na dada zako wanaokojoa hovyo hovyo hata kwa kuangalia picha. He is handsome sio ww kifupi nyundo kilichokomaa chenye vigimbi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajichekesha chekesha nini au hapa napashana na mwanamke mwenzangu kashaona wivu? Maana sidhani kama kuna mwanaume aliekamilika anaweza akawa dizaini yako. Shost unanichoshaaa twende wote kwa mzungu tukakojozwe maana naona una wivu hatari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mama j aliliwa lodge , ila huyo kakojoa yuko kwake akimtizama mserbia kwenye kideo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kitu cha kuchekesha hapo au ni umasikini unakusumbua?
 
Back
Top Bottom