Akifika utamuona tu.Vipi [emoji355]100 kishafika ?
Sio UTOPWINYO MnyamaNdio kawabeba sasa.
PIPi au?Wazee wa "Baba me nataka bwaana"..[emoji1]
Anacheza na Ali Kiba MnyamaKwa hiyo leo Simba anacheza na nani?
mtaalam huyo sio kama wale walilia ubwabwa kwenye event ya yanga[emoji16]Huyu Mbwaduke hizi data za kweli?
Acha kuhangaika!Hamna maajabu,Bek Innonga tu hapooo
Munch wa annabelletz47 wewe UTOPWINYO si ukae pembeniSio UTOPWINYO Mnyama
Ana kile kicheko chake cha kiupinde.Hili Semaji halina sauti ya Kuamsha hamshaaa
Powe DYNAMO Kened Mudenda ndani
😆😆🤢
tiketi sold out, tiketi zilikuwa na seat number lakini maelfu ya watu wamezuiwa Kwa sababu uwanja umejaa huu ni uhuni uliopitiliza.