Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Sema tumetia aibu sana sisi wa kuwa na mechi na tusisikike kweli nimeamini timu yetu bdo ndgo kwa simbaMnakipiga leo chamazi [emoji16]
Amini mkuu, nyie bado sana ila jeuri tu..Sema tumetia aibu sana sisi wa kuwa na mechi na tusisikike kweli nimeamini timu yetu bdo ndgo kwa simba
Taarifa ya uwongoDah! Pamoja na mimi kuwa yanga sina hii habari kumbe tuna mechi leo
Anatetemeka mikono kama anakunywa gongo.Mohamed Dewji Sasa Anaongea
Hao wasanii mliowakusanya kwenye tamasha lenu waliaibishwaKwenge burudani wamezingua sana. Ubunifu 0.
Yanga waliwafanyia mchezo mbaya, wasanii wote wakali waliwabeba, kina marioo, chino kid, jux nk wakawaachia mwijaku na yule dogo mtukanaji.
Bila Yanga kuwaachia Kiba leo wangezitapika pesa za watu.
Siyo rahisi... kihivyo.Tajiri kaahidi kupeleka kikombe ikulu, sio rahimedali.