FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

Wale wambea waliokua wanamtaka Mo Dewji huyu hapa....
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Mwamba huyu hapaaaa....Mo huyu hapaa
Anaesema anataka aruke kasharuka
 
Kwenge burudani wamezingua sana. Ubunifu 0.

Yanga waliwafanyia mchezo mbaya, wasanii wote wakali waliwabeba, kina marioo, chino kid, jux nk wakawaachia mwijaku na yule dogo mtukanaji.
Bila Yanga kuwaachia Kiba leo wangezitapika pesa za watu.
Hao wasanii mliowakusanya kwenye tamasha lenu waliaibishwa

Value yao ilishushwa baada ya kuona hakuna washabiki mpaka fungulia mbwa.

Pamoja na fungulia mbwa bado hamkuweza kujaza uwanja.
 
Mambo ya kisenge haya kusifu na kuabudu Fisiemu kwenye siku maalum kama hii

Nimeamua kuzima TV
 
20230806_180743.jpg
 
Presidential guard wapunguze sana kuwa strict.

Kuna yule mwenye shati jeupe, anakaba sana. Mpaka shughuli nzima ya utambulisho wa Wachezaji kwa Mh Rais inakosa ladha.

Sawa, Rais anapaswa kulindwa mno, ila tukio kama hili la kijamii hatutegemei ukinzani unaozidi..
 
Back
Top Bottom