Sio siku yao watoe salamu waondokeSasa Ni Viongozi wa Kisiasa Wanaongea
Tuna kazi kubwa sana ya kutenganisha siasa na mambo yasiyo ya kisiasa hapa Tz, popote pale kwenye mkusanyiko basi inakuwa na sehemu rasmi ya CCM kupitisha agenda zao.Hii sasa m mkutano wa hadhara sio tena tamasha la michezo dahhhh
Yani hapo ikitokea raia wakaanza kupiga kelele "bandari bandarii bandari", matangazo lazima yakatwe[emoji23][emoji23]Samia twambie kuhusu bandari zetu
Yanga km Ali KibaSamia ni mpenzi wa michezo? Au yanga