FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

Hii sasa m mkutano wa hadhara sio tena tamasha la michezo dahhhh
Tuna kazi kubwa sana ya kutenganisha siasa na mambo yasiyo ya kisiasa hapa Tz, popote pale kwenye mkusanyiko basi inakuwa na sehemu rasmi ya CCM kupitisha agenda zao.
 
Back
Top Bottom