Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Walisingizia majeruhi, mara wakasema ana tatizo na uongozi ila naona ni kocha tu.Nafikiri Robertihno Hampendi Tuu
John boccoNani kafunga?
86Dakika ya ngapi huko?
Ni upumbavu sana kumchezesha Saidoo au Kibu dk nyingi vile huku Phiri akiozea benchi.Hakukua na Sababu ya Phiri kutokucheza Leo
Mbona Kibu ametoka na bado Phiri hajaingia? Kwani lazima mumsakame Kibu?Kocha kilaza hamtaki yupo radhi Kibu acheze 9 kuliko Phiri.
Kwakweli kama imeshindikana kumchezesha jamaa Bora auzwe tu .....Huyu kocha mbona kamtengsa sana Phiri