Nilianza kuufuatilia mpira enzi za akina Ian Wright wa Arsenal na Peter Schmeichel wa ManULakini haimanishi kuwa unaweza ukamjua Redondo…ila huyu Ngoma acha Avic Town wasikitike tu
Sijui Phiri kamfanya nini Sergio AgueroHuyu kocha yani hajafanya fair kwa Phiri
So wangeingia wachezaji 12 at a time?Hakukua na Sababu ya Phiri kutokucheza Leo
Namuona kama vile hana furahaKonde boy ni yule yule....
Labda alipenda acheze YangaNamuona kama vile hana furaha
Singida fg wataibana mbavu hii simba kimeoYaniiii Ngomaaaa...
Timu imekamilika
Tuanze tuu kucheza