Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiba ni sehemu ya tamasha la leo,, usiwe kama ujielewi mkuuBurudani za hovyo , kiba kawabeba sana.
Msirudie kuleta vijana wa hovyo wanaishia kutukana tu.
Hao ni UfmMkuu naomba unisaidie link, mechi imenikuta kazini tafadhari.
Simba leo anapokea kichapo hevi. Hawa power Dynamos ni dainamo kweli kweli siyo timu ya mchezo mchezo.Simba Sio Kama Yanga Kufungwa Kwenye Matamasha Yao [emoji1787]
Sauti yake haina Mzuka wa kuamsha Shangwe uwanjaniii🗣️Wana siiimba!! In Ahmed Ally's voice 😃
Wanathiimbaa....Hili Semaji halina sauti ya Kuamsha hamshaaa
Hao ni Ufm
Huyu mwamba huyuuu...😂
Nadhani zawadi ni ya Hussein Tindwa hapo Ally hakuwa na taarifa kamiliKibademi Anapewa Zawadi Hapaaa kama Legend Wa Simba
Ndio kawabeba sasa.Kiba ni sehemu ya tamasha la leo,, usiwe kama ujielewi mkuu