ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
- Thread starter
- #361
Ngoma Jezi Namba 6 Mgongoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaap kabisaa....Lazima simba itafute MC, amsha amsha..
Si lazima msemaji Kuwa MC
Dada hivi kwanini unachukia simba kiasi Hiki jamani [emoji3][emoji3]Mbu mbu mbu FC...View attachment 2709834
Bora la kwetu Yanga Sc lilikuwa limechangamka sana.tamasha limedorola sana utazani kitchenparty
Banda amevaa namba ngapiKonde boy karudishiwa namba yake (11).
Sikuzingatia kumuangalia, nadhani kachukua ya Sakho.Banda amevaa namba ngapi
Uto wamekaza wamemgomea kumpa ruhusaHuyo Mkude yupo hapo?! Au anaagwaje