Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hii inaitwa robo uwanja😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sasa Che Malone na Onana, ni uhakika tumepata wachezaji.Dah huyu Che Malone tumepata mchezaji
Kabisa.Mpaka sasa Che Malone na Onana, ni uhakika tumepata wachezaji.
Kikubwa majeraha yasiitembelee team.
Kwann mkuuKocha anatukosea heshima
Wewe👆 nini hiki😝😋Ni fire
Hakutangazwa mkuu.Mgunda hakutangazwa kwenye bench la ufundi?
Pona pona ya Diarra ni awe anakwepa tu mashuti ya Kibu, otherwise ICU au hata Mochwari vinamuita.Kibu anaugomvi na Diarra tu
Magoli kipa wengine anaishi nao vizuri tu
Huwa wanaanza hivyohivyo,mwishowe medali zinaletwa na si makombe.Simba hii sio ya kuomba mechi iishe yani unatamani kuiangalia...
Vivaaaaa Simba vivaaa
Kumbuka ndiye top scorer wa pre seasonKibu anaugomvi na Diarra tu
Magoli kipa wengine anaishi nao vizuri tu