Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Mpira sio mchezo uliojikita katika historia.Si ndio mfungaji wenu bora?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira sio mchezo uliojikita katika historia.Si ndio mfungaji wenu bora?
Unazungumzia historia kwenye mchezo wa mpira wa miguu?Kumbuka huyu ni Top Scorer wa msimu uliopita. Hivyo lazima mwalimu ampe hadhi yake anayostahili.
wa Biashara FCHuyu Midfield Teacher (MT Ngoma) ananikumbusha Fernando Redondo
Huna hata aibu we dogo, si useme tuupo uwanja wa fisi!Mbona sisi tupo live uwanjani afu mnachokiandika hatukioni mbona mnadanganya watu mitandaoni? shoo ya kawaida sana mara mseme alikiba sjui kaweje mara sjui ubunifu! upi sasa
Tupo uwanjani live acheni mhemko uongo uongo tu
Kwani ninyi mnaposema ni mabingwa wa kihistoria huwa mnazungumzia Fizikia au Kemia kwenye mpira?Unazungumzia historia kwenye mchezo wa mpira wa miguu?
Ulisikia wapi team ya Simba Sc inajitanabaisha kama "mabingwa wa kihistoria"..?Kwani ninyi mnaposema ni mabingwa wa kihistoria huwa mnazungumzia Fizikia au Kemia kwenye mpira?