Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
F. Ngoma [emoji91][emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe nakufatilia umesema wayaaa halafu hujaona kumbe aliyefunga.Unaniangusha sasa [emoji3][emoji3]Nani kafunga?
Ngoma 74'Nani kafunga?
acha uhuniwa Biashara FC
Yaani kanikeraaaMod anayesimimia uzi huu ni mtopolo,anachelewa kufanya update ya magoli kwenye heading
Wa Argentina, najua humjui….watoto wadogoooowa Biashara FC
Niko uwanjani halafu nimekaa juu so kuna baadhi ya incident zinanipitaMkuu wewe nakufatilia umesema wayaaa halafu hujaona kumbe aliyefunga.Unaniangusha sasa [emoji3][emoji3]
Mwache anune tu leo,tangu asubuhi wamevimba shingo kwa makasiriko ya Simba Day ilivyofanaMod anayesimimia uzi huu ni mtopolo,anachelewa kufanya update ya magoli kwenye heading
Pamoja sanaNiko uwanjani halafu nimekaa juu so kuna baadhi ya incident zinanipita