Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #41
Mihogo Fc ni kibatari ukikitoa nje tu kinazimaNimepokea Mkuu
Haiwezekani tuwe tuna amshwa usiku wa Manane kushuhudia Usajiri wao tulioaminishwa ni wa kiwango Cha Dunia alafu wanakuja kutolewa hatua za awali tena kote kote, Champions League na Shirikisho
Yes.Kwangu mimi mchezaji bora wa Simba aliyepafom vizuri mpaka sasa ni beki namba mbili Fetty Densa ambapo katika goli lililofungwa yeye ndio alitoa assist
Ajabu kuna watu wanajiita mabingwa wa kihistoria!!Simba Queens inashiriki kwa mara ya kwanza lakini tayari imeandika historia ya kufika nusu fainali
Nimeona Mzee Mpili anasema wanafikiria waje kujifunza Simba namna tunavyoendesha timu yetu Kwa mafanikio huko KimataifaMihogo Fc ni kibatari ukikitoa nje tu kinazima
Funga macho usijejiunga chaputaaaNasubiria hapa kama watabadilishana jezi πππ
Simba 2-0 Green Buffaloes
Simba 1-0 Green Buffaloes
Dakika ya 70