FT: Simba Queens 2-0 Green Buffaloes | CAF Women's Champions League | 05-11-2022

 
Kama kweli kwa timu yako kuona ikishiriki makundi si mafanikio basi huna vision ya mpira

Viongozi wako waliompa mkataba kocha kwa makubaliano ya kuwafikisha makundi Club bingwa ndio wanaelewa thamani ya makundi
Achana na wabishi kama hawa...yeye angejiuliza kwanini hiyo hatua ya kuingia makundi sio ya kila mtu? Na kwanini kuna pesa ya maandalizi kuanzia hatua hiyo..na hapo hapo rankings za timu zinapanda! Huyu jamaa ni zwazwa.
 
Waarabu wengi tu pia wameshindwa kuingia makundi
 
Rekebisha hapo simba vs dertimine girls..walifungwa 2-0
 
Sio tu timu ya kwanza, ndo itakua timu pekee kwa upande wa wanawake kufika iyo hatua

Sioni mautopolo yakifika uko
 
Kwangu mimi mchezaji bora wa Simba aliyepafom vizuri mpaka sasa ni beki namba mbili Fetty Densa ambapo katika goli lililofungwa yeye ndio alitoa assist
Huyo dada mvaa ushungi anaupiga mwngi kuwazid djuma.shaban na kibwana shomari
 
Simba SC TZ & SIMBA QUEENS TZ NGUVU MOJA
 
Hili jina "Simba" limebeba baraka nyingi sana.
Simba popote anaogopwa Jina lile lina nguvu sana km mnyama mwenyewe ...sijutii kushabikia simba club yaan hadi dada zetu vipenzi wanatufurahisha kaka zao [emoji1434]
 
nusu ni nini hata kufika fainal mara 10 na kupigwa zote unabaki bwege tu

chukua kikombe ndo ujitape, unajitapa makundi ama robo ndo nini
Amka toka usingizini utajikojolea ewe mla mihogo.
 
Mmmh, Sasa kwanni timu ikifika makundi inapewa hela(tena mabilioni), ikifika robo inapewa mpunga, ikifika nusu inapewa mpunga ikifika fainal inapewa mpunga...
Kwann wasitoe mpunga kwa aliyeshinda fainal tu kama huku kote hakuna maana?
kwamba hujui hata wa mwisho ligi kuu hupata fedha za kujiendeshea
 
kweli mkuu
onyango ana raha sana pale msimbazi

akpan ndo usiseme
qattara hatamani sikia ligi nyingine zaidi ya nbc chini ya simba

unaongea usiyo yajua mkuu
 
yanga ajawahi kuwa mnyonge ukitaka amini itisha mechi na simba uone nani anakuwa mnyonge
 
yanga ajawahi kuwa mnyonge ukitaka amini itisha mechi na simba uone nani anakuwa mnyonge
Yanga ilianzishwa ili kucheza na Simba peke yake tu??

Kipimo cha ubora wa Yanga ni kwa kuifunga Simba tu?

Yanga waliposema malengo yao mwaka huu ni kufika hatua ya makundi ya Klab bingwa Afrika walikuwa wanalenga kufika kwenye hatua isiyo na maana kwao??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…