FT Simba Sc 0-1 Petro Atletico lCAF CLl Group Stagel l Benjamin Mkapa Stadium l 23-11-2025 l 10:00 Jioni

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Leo, Mnyama atakuwa katika dimba la Benjamin Mkapa akiwakaribisha Petro Atlético kutoka Angola, mchezo wa Kundi D. Mechi itaanza saa 10:00 jioni. Huu ni mchezo wa kwanza kabisa kwa timu hizi kukutana katika historia ya soka barani Afrika, licha ya mashabiki wa pande zote kutamani mara kwa mara kuziona zikivaana.



Kikosi cha Simba Sc dhidi ya Atletico De Luanda

Kikosi cha Atletico Petro De Luanda dhidi ya Simba Sc ​
 
D9
D09
 
Kama rahisi kupata points 3 na nyinyi leo pateni tuone.
 
humu team hamna aisee smba yangu sijui imekuwaje viongozi wamekuwa matapeli sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…